Friday, July 30, 2010

HABARI WAUNGWANA

Habari ya leo? kulikuwa na mahojiano kati ya baba na mwanae, na mahojiano hayo yalikuwa kama ifuatavyo
BABA-Hivi mwanangu unaweza kunitajia kuna kitu kikali kama nyoka?
MTOTO- Ndio baba kitu hicho ni rushwa
BABA- no no ni nyoka, (baba alijibu hivyo kwa kuwa naye ni mla rushwa)

SASA RUSHWA IMEKUWA FASHION


Hebu tuepuke msala huu wa rushwa katika uchaguzi ujao ni hatari sana, watu wanatafuta kuingia kwenye madaraka kwa mbinde ya rushwa, tuwatenge wala rushwa

Thursday, July 29, 2010

magonjwa kede kede,


hebu ona barabara zetu mbovu., madiwani, wabunge vipiiii

MADHARA YA RUSHWA KATIKA UCHAGUZI

Tutakosa hata tone moja la maji, kwa kuwa tutawachagua viongozi walafi,wasioijali nchi

Rushwa

ni lazima jamii iwaepuke hawa watu wasio waadilifu ambao wanatukuza rushwa na kuiangamiza nchi yutu

Watazania uchaguzi umekaribia hebu sikieni vituko hivi

Rushwa imeota mizizi, hebu sikia vigogo wazito wazito walivyo nyakwa kwa rushwa